HabariMakonda ahojiwa kwa saa tatu CCM Admin1 year ago01 mins 23 Mwananchi Digital leo iliweka kambi kwenye ofisi za makao makuu ya CCM jijini Dodoma, ilimshuhudia Makonda akiingia kwenye ofisi hizo saa 3.15 asubuhi akiwa na gari aina ya Toyota Land Cruiser rangi ya kijivu Post navigation Previous: BETIKA NA MTOKO WA KIBINGWA 2024 YAFANA WASHINDI WAANDIKA HISTORIANext: Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno