
Shule iliyosababisha mkandarasi kutimuliwa Zanzibar yafunguliwa
Unguja. Shule ya Sekondari iliyosababisha mkandarasi kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar imekamilika na kufunguliwa rasmi. Sekondari hiyo iliyopewa jina la Hassan Khamis Hafidh yenye ghorofa tatu ina madarasa 41. Mwonekano wa Shule ya Sekondari Hassan Khamis Hafidh. Ujenzi wake umegharimu Sh5.4 bilioni ambao ulianza Februari 2022. Kwa mujibu wa mkataba ilitakiwa kukamilika Agosti mwaka 2022. Hata hivyo,…