NIDA yapata mafanikio katika miaka 60 ya Muungano

*Ni katika kutoa vitambulisho Kwa idadi kubwa ya wananchi Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema kuwa katika miaka 60 Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar mamlaka imepata mafanikio ya kutoa Vitambulisho Kwa idadi kubwa. Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano Godfrey Tengeneza wakati akizungumza kuhusiana mafanikio ya…

Read More

WAKULIMA KUNUFAISHWA NA (TBL) KUPITIA MASOKO YA KIKANDA

Msukumo wa ushirikiano huo ni kwamba licha ya uwezekano wa Tanzania kuwa kapu la chakula la kikanda na kuwaunganisha wakulima na viwanda vya ndani na vya kikanda vya mazao kwa ajili ya uongezaji thamani na usindikaji, changamoto za uwezo ndani na kando ya mnyororo wa ugavi zinapunguza hili kutokea. Changamoto hizi kwa kiasi kikubwa husababishwa…

Read More

WANAGDSS WAICHAMBUA BAJETI YA OFISI YA RAIS (MIPANGO NA UWEKEZAJI) NA KUBAINI HAIJAZINGATIA MASUALA YA JINSIA – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA EMMANUEL MBATILO,MICHUZI TV   WADAU mbalimbali wa masuala ya Jinsia na Maendeleo wamekutana katika Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) na kuichambua bajeti ya Ofisi ya Rais (Mipango na uwekeshaji) na kubaini kuwa haijazingatia masuala ya jinsia.   Akizungumza leo Aprili 24,2024 jijini Dar es salaam, wakati wa semina ambazo hufanyika kila Jumatano katika…

Read More

JENERALI MKUNDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU KATIBU MKUU WA UN ANAYESHUGHULIKIA OPERESHENI ZA ULINZI NA AMANI

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Operesheni za Ulinzi wa Amani ( UN Under Secretary General for Peace Operations) Bw. Jean Pierre Lacroix ofisini kwa Mkuu wa Majeshi, Upanga, Jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo yao, Bw. Jean…

Read More

RAIS SAMIA AZINDUA KITABU CHA MIAKA 60 YA HISTORIA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS PAMOJA NA KITABU CHA SAFARI ZA PICHA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA MIAKA 60

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya…

Read More

WAZIRI JAFO AONGOZA VIONGOZI WA MKOA WA DODOMA MAPOKEZI YA VIONGOZI WA DINI WALIOSAFIRI NA TRENI YA MWENDOKASI WAKITOKEA DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika mapokezi ya viongozi wa dini waliosafiri kwa treni ya mwendokasi wakitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024. Viongozi hao wanatarajia kushiriki ibada maalumu ya kuliombea Taifa itakayofanyika katika Uwanja wa…

Read More

ALAT yapewa mbinu kuleta mabadiliko kwa jamii

Unguja. Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) imetakiwa kujipambanua kwa kutetea masilahi ya umma ili kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii, jambo ambalo limetajwa kuwa litaifanya iweze kuheshimika. Hayo yameelezwa leo Aprili 24, 2024 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Masoud Ali Mohammed…

Read More