
Miaka 60 ya Muungano Tanzania kukutanisha wakuu wa mataifa saba Afrika
Dar es Salaam. Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinatarajiwa kuwakutanisha wakuu wa mataifa saba ya Afrika, watakaohudhuria tukio hilo kesho Ijumaa, Aprili 26, 2024. Sherehe hizo zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, zitahudhuriwa pia na makamu wa rais wa mataifa mawili, Waziri wa Mambo ya…