HabariKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATUNUKIWA NA RAIS NISHANI YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA, LEO IKULU CHAMWINO, DODOMA Admin1 year ago01 mins 26 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemvalisha nishani ya Kumbukumbu ya miaka 60 ya Muungano Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Mzee Ramadhani Nyamka leo Aprili 24, 2024 Ikulu chamwino Jijini Dodoma Post navigation Previous: RAIS SAMIA ATUNUKU NISHANI VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANext: PATA HABARI MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 25,2024