Ahly, Esperance fainali Mazembe, Mamelodi hoi

MAMBO ni moto. Miamba ya soka ya Afrika, Al Ahly na Esperance Tunis ndiyo itakayochuana kwenye mchezo wa fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kuwasukuma nje wapinzani wao kwenye mechi za nusu fainali usiku wa Ijumaa. Al Ahly ilikuwa nyumbani huko Cairo, Misri kukipiga na TP Mazembe katika moja ya mechi…

Read More

Ukuta wa nyumba waua watoto watatu wa familia moja

Shinyanga. Mvua zinazoendelea kunyesha katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga mkoani hapa, zimesababisha vifo vya watoto watatu wa familia moja katika Kitongoji cha Miembeni B, Kijiji cha Mishepo baada ya kuangukiwa na nyumba waliyokuwa wamelala usiku wa kuamkia leo. Akisimulia tukio hilo leo Ijumaa Aprili 26, 2024, mama wa watoto hao, Joyce Nchimbi ambaye amenusurika…

Read More

MSAJILI WA HAZINA AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MPYA WA HESLB

Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Bill Kiwia (wa pili kushoto), katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Dkt. Bill Kiwia (kushoto), akizungumza alipokuwa akitoa wasilisho lake kwa…

Read More

‘Uelewa mdogo chanzo cha wakulima kutotumia mbolea’

Mwanza. Kampuni za kuuza mbolea nchini zimetakiwa kutoa elimu kwa wakulima kupitia mashamba darasa ili kuwashawishi matumizi ya mbolea shambani yanayotajwa kua chini mikoa ya kanda ya ziwa. Akizungumza leo Ijumaa Aprili 26, 2024 wakati wa mkutano wa kuwajengea uwezo mawakala wa mbolea ya Minjingu Kanda ya Ziwa, Meneja wa Kanda wa Mamlaka ya Udhibiti…

Read More

Prince Dube aishi kifahara dar, aiponza Yanga

MWANASPOTI linajua vigogo walio karibu na Yanga wamempa maisha ya kifahari staa anayepambana kuvunja mkataba na Azam, Prince Dube lakini klabu imeingia msituni kwa staili ya tofauti. Dube kwa sasa anaishi kwenye jumba moja la kifahari maeneo ya Salasala, Dar es Salaam kilomita chache kutoka kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi. Lakini habari za ndani…

Read More

Mkakati wa Serikali kunusuru wanafunzi na mafuriko

Dar es Salaam. Mvua inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini na kusababisha uharibifu wa mali, makazi na miundombinu ya barabara na majengo, imeifanya Serikali kuchukua uamuzi mgumu wa kuzitaka shule zote zilizoathiriwa na mvua hizo kufungwa. Uamuzi huo unachukuliwa kipindi ambacho imeshuhudiwa mvua hizo za El-Nino tangu zilipoanza Oktoba mwaka jana kusababisha vifo vya watu zaidi…

Read More