
Sarr aipa Simba milioni 50 za Muungano
BAADA ya kufunga bao pekee katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano, kiungo wa Simba Babacar Sarr ameiwezesha timu hiyo kuvuna kitita cha Sh50 milioni ambayo ni zawadi ya mshindi ya bingwa. Sarr alifunga bao hilo kwa kichwa katika dakika ya 77 akiunganisha mpira wa faulo uliopigwa ikiwa ni matokeo ya madhambi yaliyofanywa na…