MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KUDHIBITI MAJANGA YA MIGODI YA BARRICK NCHINI YAPONGEZWA NA SERIKALI NA WANANCHI KATIKA MAONESHO YA OSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda katika Banda la Barrick ****** Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi wamepongeza kazi kubwa na nzuri inayofanywa na migodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu,North Mara na Buzwagi kwa kutumia vifaa vya teknolojia ya kisasa kudhibiti majanga sambamba na kufikisha elimu ya Afya na Usalama kwa…