Serikali yatoa majibu adhabu ya kifo, kukazia hukumu

Dodoma. Wakati Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, Serikali imesema suala la kukazia hukumu na adhabu ya kifo ni vitu ambavyo vinafanyiwa kazi, na mabadiliko ya baadhi ya sheria yameanza kuonekana. Pia, imesema Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 imeendelea kufanyiwa kazi kwa kukusanywa maoni na itakapokamilika itawasilishwa bungeni. Hayo yamesemwa leo Jumatatu…

Read More

Mbunge asisitiza wabakaji, walawiti wahasiwe

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond amesisitiza pendekezo la muda mrefu la baadhi ya wabunge la kuhasiwa wanaume wanaopatikana na hatia ya ubakaji ama ulawiti kwa watoto. Mbunge Shally Raymond amesema hayo leo Jumatatu ya Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala bungeni wa taarifa ya mpango na makadirio ya mapato na…

Read More

MERIDIANBET YAPIGA HODI MTAANI KUWASHIKA MKONO WAPAMBANAJI

MITAA iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na kuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbet wamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili ya…

Read More

Upelelezi wakwamisha kesi vigogo TPA

Dar es Salaam. Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Madeni Kipande (66) na wenzake watano, bado unaendelea.Wakili wa Serikali, Monica Ndekidemi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Aprili 29, 2024, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kutajwa.Kipande na wenzake wakikabiliwa na mashtaka matatu…

Read More

MAMIA YA WAFANYAKAZI KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS LIMITED WASHIRIKI MEI MOSI MANYARA .

Ferdinand Shayo ,Manyara .   Mamia ya Wafanyakazi wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited wameshiriki maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi ya Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa Katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Wilayani Babati Mkoani Manyara na kupambwa na msafara mrefu wa magari ya kusambaza vinywaji kutoka kwenye kampuni hiyo.   Mkurugenzi…

Read More

Ujenzi wa kudumu barabara, madaraja yaliyoharibiwa kusubiri mvua ziishe

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Inocent Bashungwa amesema baada ya mvua kuisha wataanza kujenga barabara na madaraja ya kudumu katika maeneo yaliyoathiriwa. Akizungumza leo Aprili 29,2024 baada ya kufanya ziara kukagua miundombinu iliyoharibiwa na mvua katika Wilaya ya Kigamboni amesema kwa sasa wanarudisha mawasiliano ili barabara ziendelee kupitika wakati wakisubiri kupungua kwa…

Read More

Kigogo wa zamani Tucta afichua makubaliano ya kikokotoo

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), Nicolaus Mgaya amesema bado wafanyakazi wana safari ndefu ya kupata nyongeza ya kikokotoo, akitaja sababu ni Serikali kushindwa kuiwezesha mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa na ukwasi wa kutosha. Mgaya pia amekosoa utendaji wa Tucta akisema imeshindwa kuibana Serikali katika kudai…

Read More

Aussems: Tatizo Simba ni lilelile

BAADA ya Abdelhak Bechikha kuachana na Simba kwa kile kilichotajwa ana matatizo ya kifamilia, kocha wa zamani wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema tatizo la Simba ni lile lile. Aussems aliyeinoa Simba kuanzia Julai 2018 hadi Novemba 2019 amesema tatizo la Simba kutodumu na makocha wengi ni viongozi kutokuwa waadilifu jambo ambalo alilolisema wakati anaondoka….

Read More