
BMH YAHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 24 BARAZA LA MAWAZIRI SEKTA YA AFYA EAC
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Kawaida wa 24 wa Baraza la Mawaziri la sekta ya Afya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Dar es Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku tano, ulioanza leo tarehe 29 Aprili hadi Mei 3, unafanyika kwa njia ya mseto (video na ana kwa ana)…