Kuondoka kwa makocha Simba… Tatizo lipo hapa

LICHA ya Simba kutajwa timu yenye mafanikio kwenye miaka ya hivi karibuni kutokana na rekodi nzuri kimataifa ikiwa namba tano kwa ubora Afrika ndio timu pekee ambayo imefundishwa na makocha tisa ndani ya misimu sita. Simba imeandika rekodi hiyo ya kuachana na makocha hao baada ya juzi kuachana na Abdelhak Benchikha ambaye amedumu kwenye kikosi…

Read More

Serikali yatoa majibu adhabu ya kifo, kukazia hukumu

Dodoma. Wakati Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, Serikali imesema suala la kukazia hukumu na adhabu ya kifo ni vitu ambavyo vinafanyiwa kazi, na mabadiliko ya baadhi ya sheria yameanza kuonekana. Pia, imesema Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 imeendelea kufanyiwa kazi kwa kukusanywa maoni na itakapokamilika itawasilishwa bungeni. Hayo yamesemwa leo Jumatatu…

Read More

Mbunge asisitiza wabakaji, walawiti wahasiwe

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond amesisitiza pendekezo la muda mrefu la baadhi ya wabunge la kuhasiwa wanaume wanaopatikana na hatia ya ubakaji ama ulawiti kwa watoto. Mbunge Shally Raymond amesema hayo leo Jumatatu ya Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala bungeni wa taarifa ya mpango na makadirio ya mapato na…

Read More

MERIDIANBET YAPIGA HODI MTAANI KUWASHIKA MKONO WAPAMBANAJI

MITAA iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na kuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbet wamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili ya…

Read More

Upelelezi wakwamisha kesi vigogo TPA

Dar es Salaam. Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Madeni Kipande (66) na wenzake watano, bado unaendelea.Wakili wa Serikali, Monica Ndekidemi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Aprili 29, 2024, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kutajwa.Kipande na wenzake wakikabiliwa na mashtaka matatu…

Read More