Wanaharakati wahamishia mapambano mtandaoni | Mwananchi
Morogoro. Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa amewataka watetezi wa haki za binadamu hapa nchini kuongeza kasi ya kuibua na kushughulikia changamoto za ukatili na ndoa za utotoni kwenye maeneo yao, ikiwemo mitandaoni ambako nako ukatili huo unafanyika. Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 29, 2024 kwenye mafunzo maalumu…