Wabunifu teknolojia za elimu “njooni mchukue mkwanja”
Dar es Salaam. Wabunifu wa teknolojia ya elimu nchini wametakiwa kuwasilisha maombi ya fedha na mafunzo kwa ajili ya kuendeleza bunifu zao ili kuleta suluhu za kielimu nchini. Akizungumza jana Aprili 28, 2024 wakati wa kutambulisha mradi wa wa mafunzo hayo uitwao Mastercard Foundation EdTech Fellowship, Mtendaji Mkuu wa Sahara Ventures, Jumanne Mtambalike amesema lengo…