Mbunge adai Tanroads ilimpa kazi mkandarasi asiye na vifaa
Morogoro. Mbunge wa Ulanga (CCM), Salim Hasham ameutupia lawama Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) mkoa wa Morogoro kwa kumpa kazi mkandarasi asiye na vifaa, jambo ambalo limesababisha kuchelewa kwa ujenzi wa barabara na kuchochea kupanda kwa bei za vyakula. Amedai mkandarasi huyo alipewa mradi wa kujenga barabara inayounganisha Ulanga na Ifakara, hata hivyo, amedai tangu alipopewa…