Wakazi Idunda walia kukosa daraja Mto Mtongolosi
Iringa. Wakazi wa Kijiji cha Idunda, Kata ya Kimala, mkoani Iringa wamemwomba Mbunge wa Kilolo, Justine Nyamoga asaidie ujenzi wa daraja linalohatarisha maisha yao hasa kwa watoto. Wamesema tatizo hilo si kwa sababu ya mvua, badili ni la miaka mingi, eneo hilo halina daraja jambo lililokifanya kijiji chao kuwa kama kisiwa. New Content Item (1)…