Bil 12.4 zimetumika ujenzi wa miradi wilaya ya Momba

MKUU wa wilaya ya Momba mkoani Songwe Kennan Kihongosi ame tumia sherehe za  siku ya Muungano wa Tanganyika kutaja mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Dk. Samia Suruhu akisema alitoa Bilioni 124 zilizojenga miradi. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe … (endelea).  Amesema serikali ya awamu ya sita inafanya kazi kubwa ya kuwa ondolea wananchi changamoto zinazowakumba…

Read More

Mastaa Yanga kama ulaya | Mwanaspoti

KWA wachezaji nyota wa soka katika baadhi ya klabu barani Ulaya sio ajabu kukuta wakivaa soksi na hata viatu vikiwa na majina au sura zao mbali na bendera za mataifa watokapo kama kuwatofautisha na wengine. Cristiano Ronaldo ‘CR7’, Lionel Messi, Neymar  na hata Kylian Mbappe wamekuwa wakivaa viatu maalumu na hata soksi zikiwatofautisha na wengine…

Read More

Balama: Kama si Yanga ningeacha soka

CHANGAMOTO katika maisha ni vitu vya kawaida, lakini kuna nyingine huwa zinakatisha tamaa na kama mtu ana roho ndogo ni ngumu kutoboa. Hutokea bahati tu, mtu akizungukwa na watu wenye kujali na kutia moyo na kusaidia ushauri wa kisaikolojia kama ilivyomkuta winga wa zamani wa Yanga, Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’ anayefichua alivyobakia kidogo tu aache kucheza…

Read More

Bolt Business yazindua Huduma yake kuponi kwa makampuni ili kutoa huduma kwa wafanyakazi, wateja na washirika kwa urahisi nchini Tanzania

Kampuni inayoongoza kwa mahitaji ya usafiri kwa makampuni kwa njia ya mtandao barani Afrika Bolt Bolt Business, imetangaza huduma yake mpya ya Bolt Business Kuponi ili kuruhusu wafanyabiashara/mashirika kushiriki au kulipia kikamilifu gharama ya safari ya mara moja kwa wafanyakazi na wateja wao.  Kuponi ni sehemu ya Bidhaa ya Bolt Business inayolenga kusaidia wateja walio…

Read More