Matola aachiwa msala Simba | Mwanaspoti
KOCHA Msaizidi wa Simba, Seleman Matola ameachiwa msala wa kuiongoza timu hiyo kati-ka mechi zilizosalia na Ligi Kuu Bara ikiwamo wa keshokutwa dhidi ya Namungo, baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha kuamua kuachana na timu hiyo akitoka kuipa Kombe la Muungano lililofanyika Zanzibar. Benchika aliyetambulishwa na Simba Novemba 28 mwaka jana,…