MSITHA AHIMIZA AAT KUWAWEKA KARIBU WADAU KUDHAMINI MASHINDANO YA MBIO ZA MAGARI
BARAZA la Michezo Nchini (BMT) La ahidi kushirikiana bega kwa bega na Shirikisho la Mbio za Magari (AAT) Kuhakikisha wadau wanaunga mkono mchezo huo. Akizungumza na Wadau na Wachezaji wa Mashindano ya mbio za magari wakati wa Kugawa tuzo Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la michezo (BMT) Neema Msitha amesema amefarijika kuona…