Pamba yarejea Ligi Kuu Bara baada ya miaka 22
TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza ambao wamesubiri kwa zaidi ya miaka 20, huku kocha Mbwana Makatta akiandika historia ya kuzipandisha daraja timu nne ndani ya misimu saba. Mabingwa hao wa Ligi ya Muungano mwaka 1990 wamerejea…