NGORONGORO YAZINDUA ZOEZI LA UPIGAJI KURA KUWANIA TUZO YA KIVUTIO BORA CHA UTALII BARANI AFRIKA.
Na Mwandishi wetu, Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imezindua zoezi la upigaji kura kuwania tuzo ya kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024 katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Jengo la Ngorongoro Jijini Arusha. Akizindua kampeni hiyo ya upigaji kura kaimu kamishna wa Uhifadhi NCAA Victoria Shayo amesema zoezi hilo litachukua siku…