Mastraika Taifa Stars wanahitaji maombi
Wakati zikibaki siku 44 kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mwenendo wa wachezaji wa safu ya ushambuliaji ambao wamekuwa wakitegemewa na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ umeanza kuleta hofu. Idadi kubwa ya wachezaji hao wameonyesha kupoteza makali ya kufumania nyavu katika klabu…