BMH YAKUTANA NA MABALOZI – Mzalendo
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya kikao na mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika Nchi za Afrika Mashariki, Afrika ya Kati na Astarasia kwa lengo la huduma zake zijulikane katika nchi hizo. Balozi. Said Shaib Mussa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye ameakifungua kikao hicho, amewapongeza mabalozi kwa kuridhia…