Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: April 2024

  • Home
  • 2024
  • April
  • Page 30
Habari

SOMALIA KUSHIRIKIANA NA MSD KWENYE MANUNUZI YA BIDHAA ZA AFYA NA KUBADILISHANA UZOEFU

April 27, 2024 Admin

Rais wa Somalia Mheshimiwa Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za

Read More
Habari

Mama asimulia ukuta wa nyumba ulivyowaua ‘wanawe’ wanne, mmoja akinusurika

April 27, 2024 Admin

Dar es Salaam. “Sijui nimemkosea nini Mungu, amenipa adhabu kali inayoacha alama isiyofutika katika maisha yangu.” Haya ni maneno ya Mariamu Julius, aliyoitoa wakati akisimulia

Read More
Habari

SERIKALI KUANZISHA TAASISI MPYA ITAKAYO TOA HUDUMA ZA UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA

April 27, 2024 Admin

Rais wa Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud akitazama chumba cha upasuaji kilichowekwa mtambo wa matibabu ya moyo ‘Cathlab’ katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya

Read More
Michezo

Guede aiua Coastal Chamazi, safari ya ubingwa yashika kasi

April 27, 2024 Admin

BAO pekee la mshambuliaji, Joseph Guede la dakika ya 76 limetosha kuipa Yanga pointi tatu muhimu dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu

Read More
Habari

Familia ya Zuchy yaeleza ndoto aliyokuwa nayo ndugu yao, ratiba ya mazishi

April 27, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Jeshi la Polisi nchini Tanzania likiwataka watu wenye taarifa tofauti juu ya kifo cha Noel Mwingira, maarufu Zuchy wazipeleke zifanyiwe kazi,

Read More
Habari

CRDB Bank kuwawezesha wanachama wa TAPEI kuboresha elimu katika shule binafsi

April 27, 2024 Admin

Dar es Salaam. Tarehe 27 Aprili 2024: Katika kuunga mkono juhudi za kuboresha elimu nchini, Benki ya CRDB imeasaini mkataba wa ushirikiano na Chama cha

Read More
Michezo

Ali Kamwe afunguka ishu nzima ya Pacome, iko hivi

April 27, 2024 Admin

NYOTA wa Yanga, Pacome Zouzoua ameanza rasmi mazoezi na timu hiyo baada ya kukosekana kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata wakati wa mchezo wa Ligi

Read More
Habari

ACT Wazalendo wasisitiza kushushwa gharama za maisha

April 27, 2024 Admin

Moshi. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaja hali ngumu ya kiuchumi miongoni mwa mambo manne ambayo kimesema bado ni changamoto kwa Watanzania. Pamoja na hilo, ambalo

Read More
Habari

Wanne familia moja wafariki dunia, madaraja yakatika

April 27, 2024 Admin

Dar/mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali, zimeendelea kuleta madhara ikiwemo kusababisha vifo vya watu wanne wa familia moja na kukata mawasiliano ya upande mmoja

Read More
Habari

Watanzania watakiwa kuunga mkono matumizi nishati safi

April 27, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu, Arusha WANANCHI wa Jiji la Arusha wakiwemo Baba na Mama Lishe wameishukuru Kampuni ya Oryx Gas kwa hatua inazochukua za kuhakikisha kundi

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 29 30 31 … 96 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.