Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: April 2024

  • Home
  • 2024
  • April
  • Page 31
Habari

 Polisi yawaachia ‘Boni Yai’ na Malisa, watoa msimamo

April 27, 2024 Admin

Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Meya wa Ubungo, Jacob Boniface, maarufu Boni Yai pamoja na Mwanaharakati, Godlisen Malisa wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi,

Read More
Habari

Matumizi ya rada yaokoa wachimbaji migodini

April 27, 2024 Admin

Arusha. Katika kuelimisha wananchi na washiriki wa maonyesho ya usalama na afya mahali pa kazi Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeleta vifaa mbalimbali

Read More
Habari

TARURA:PAIPU KALAVATI ZASAMBAZWA KURUDISHA MAWASILIANO BARABARA KILIMANJARO

April 27, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye

Read More
Habari

Mhagama: Changamkieni fursa za uwekezaji nchini

April 27, 2024 Admin

Na Mwandihi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama ametoa shime kwa Baraza

Read More
Habari

Dk Biteko atoa maagizo kilio cha kodi, tozo shule binafsi

April 27, 2024 Admin

Dar es Salaam. Kufuatia kilio cha utiriri wa tozo kwa shule binafsi nchini, Serikali imeagiza wizara tano kukutana na Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi

Read More
Habari

Mpina ‘anavyobanana’ na CCM | Mwananchi

April 27, 2024 Admin

Bariadi. Kauli ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed ya kumtaka Mbunge wa Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani humo, Luhaga Mpina kuacha siasa

Read More
Michezo

Kurugenzi waikimbia Moro Kids ‘playoff’ First League

April 27, 2024 Admin

Morogoro. Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano (play off) baina ya Moro Kids ya Morogoro na Kurugenzi FC ya Simiyu umeshindwa kufanyika

Read More
Habari

Msajili wa Hazina akutana na Bosi mpya wa Bodi ya Mikopo

April 27, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Read More
Habari

Waokota chupa za plastiki wakatiwa bima ya afya

April 27, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wazalishaji wa vinywaji na watengenezaji wa bidhaa za plastiki nchini, wamewapatia waokota chupa za plastiki bima ya afya ya jamii (CHF) na

Read More
Habari

ALAT yawanyooshea kidole wabunge kwakutotetea maslahi ya madiwani

April 27, 2024 Admin

*Yataka uchaguzi wa madiwani utenganishwe ili wabunge waone ilivyo ngumu kupata kura Na Safina Sarwatt, Zanzibar BAADHI ya Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 30 31 32 … 96 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.