Hizi ndizo tabia za Diarra, Aucho kambini Yanga

Kikosi cha Yanga jioni ya jana kilikuwa uwanjani kumalizana na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku mastaa wa timu hiyo, Djigui Diarra, Maxi Nzengeli na Stephane Aziz KI walitarajiwa kuendeleza moto ulioifanya timu hiyo iwe tishio kwa sasa mbele ya wapinzani wanaochuana nao kuwania ubingwa. Hata hivyo, sasa unaambiwa tofauti na unavyowaona…

Read More

Mwanahabari Kabendera aituhumu Vodacom kufanikisha ‘kutekwa’ kwake

Dar es Salaam. Mwanahabari Erick Kabendera ameibua tuhuma nzito dhidi ya kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom, akiituhumu kuwa ndio iliyofanikisha kukamatwa kwake na askari Polisi, tukio analoliita kutekwa, na kisha kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, mwaka 2019. Kutokana na madai hayo, Kabendera ambaye alikuwa amejikita katika uandishi wa habari za uchunguzi,…

Read More

China yatoa fursa zaidi Watanzania kujifunza Kichina

Dar es Salaam. China imetoa fursa ya Watanzania nchini  kupata ufadhili wa kusomeshwa katika Taifa hilo la pili kiuchumi na kwa idadi ya watu duniani. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam inayofundisha lugha ya Kichina (CI), Profesa, Zhang Xiaozhen, wakati wa kukabidhi msaada wa vitabu 100…

Read More

MAMBA WATISHIA USALAMA WA WANANCHI WA KATA YA RUVU.

NA WILLIUM PAUL, SAME.  MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wananchi wa kata ya Ruvu kuwa makini na maji yanayotapakaa katika maeneo hayo kutoka mto Ruvu kutokana na maji hayo kuja na mamba ambao wanaweza kuleta madhara kwao.  Mkuu huyo wa wilaya pia amewaagiza Tarura kufika katika kata hiyo na kuona…

Read More

Wanafunzi St. Mathew wahamasishwa kujifunza Kichina

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wanafunzi wa Shule ya Sekondari St. Mathew iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wamehamasishwa kujifunza lugha ya Kichina ili kupata fursa zaidi za kujiendeleza kimasomo. Shule hiyo imekuwa ikifundisha lugha ya Kichina tangu mwaka 2016 na hadi sasa wanafunzi 100 wamenufaika kwa na wengine wamepata ufadhili wa masomo nchini…

Read More

BAKWATA: Wenza wengi nchini hawana elimu kuhusu ndoa

Na Ramadhan Hassan, Dodoma Utafiti uliofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) umebaini kuwa wenzi wengi wanaoingia katika ndoa hawana elimu kuhusu ndoa. Kutokana na changamoto hiyo, BAKWATA itaanza kutoa elimu katika mikoa mbalimbali nchini ili kusaidia jamii kujua kuwa ndoa inataka nini. Naibu Kadhi Mkuu, Sheikh Ali Ngeruko. Hayo yamebainishwa leo Aprili 27,2024…

Read More