Sauti alivyogeuza changamoto soko la nyanya kuwa fursa
Dodoma. Upo msemo kuwa “Ukiona vinaelea vimeundwa”, ukiwa na maana ukiona jambo zuri basi kuna watu wameliwezesha kufikia hapo. Maisha ya Imani Sauti (27), mkazi wa Kata ya Ludewa iliyopo Kilosa mkoani Morogoro yanaendana na msemo huo wa wahenga, hasa ukiangalia maisha yake ya sasa na njia alizozitumia kufikia hapo. Baada ya kuhitimu kidato cha…