60 years of the United Republic of Tanzania; We are united and Strengthened for the Development of Our Nation. 1. Introduction. The United Republic
Month: April 2024

YANGA, Azam na Simba ndizo timu zinazopigania nafasi mbili za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara msimu huu ili kupata nafasi ya kushiriki michuano

Same.Watu watatu wa familia moja, katika kitongoji cha Kampimbi, Kijiji cha Ndungu, Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro wanadaiwa kumshambulia na kumuua kwa kumkata sehemu za

MBIO za kuwania tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu ngoma nzito kikanuni, licha ya nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na

Moshi. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali, kusimamia na kuhakikisha waongoza watalii wanalipwa masilahi stahiki ili kuwa chachu ya kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini.

Musoma/Dar. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema licha ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kutimiza miaka 60, bado unahitaji maboresho, akipendekeza muundo wa Serikali

Dar es Salaam. Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo, Jacob Boniface na Mwanaharakati, Godlisen Malisa, Hekima Mwasipu amesema kuwa atafungua kesi kudai haki ya

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Namibia Mhe. Nangolo Mbumba ambaye yuko Nchini Tanzania kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr.

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania April 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaasa Washereheshaji kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na kuibua misamiati mipya ambayo inaweza kichakatwa