TANROADS YAENDELEA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA GONGOLAMBOTO JIJINI DAR ES SALAAM
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imehakikisha utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka; barabara ya Nyerere hadi Gongo la mboto unaendelea huku barabara ya kawaida ikiendelea kupitika hata katika kipindi hiki cha mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali Nchini. Akizungumza wakati alipofanya ziara katika mradi huo Meneja wa miradi ya mabasi yaendayo haraka…