
Museveni amsifia Muhoozi kuwa mwanajeshi shupavu – DW – 30.04.2024
Kwenye sherehe ya familia ya maadhimisho ya miaka 50 ya kuzaliwa kwa Muhoozi, Rais Museveni kama baba hakuzuwia hisia zake kumsifu mwanawe kuwa mzalendo na shujaa anayependa sana kuboresha jeshi la Uganda licha ya ukosoaji kutoka ndani na nje ya utawala wake. “Watu wamekuwa wakimsema sana Muhoozi… Muhoozi hiki, Muhoozi hili…Aliporudi kutoka mafunzo ya kijeshi,…