Rais Samia atabiri 2030 Tanzania kuwa na CDF mwanamke

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amedokeza huenda mwaka 2030 Tanzania ikawa na Mkuu wa Majeshi mwanamke. Msingi wa dokezo lake hilo ni kile alichoeleza, katika onyesho la Paradushi mwaka huu, limejumuisha askari wa kike tofauti na miaka yote. Onyesho hilo lililofanyika katika sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa…

Read More

Mbadala wa Aucho Yanga huyu hapa

YANGA wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma kama mbadala mpya wa staa wao, Khalid Aucho. Kagoma ni kati ya viungo wakabaji wazawa wanaofanya vizuri katika Ligi Kuu Bara ambapo msimu huu amekuwa akiitumikia Singida Fountain Gate aliyojiunga nayo kipindi cha usajili…

Read More

Daraja Mto Luipa kunusuru maisha ya wananchi Mlimba

Wakazi wa vijiji vya Kisegese, Chiwachiwa na Lavina katika Kata ya Namwawala na Mbingu na Igima wataepuka hatari ya kupotezamaisha baada ya daraja jipya kuanza kujengwa katika Mto Luipa   Daraja linalotumika sasa ni la mbao linalodaiwa kukatika mara kwa mara na kusababisha vifo na majeruhi kwa watumiaji wake. Miongoni mwa miradi iliyipitiwa na mwenge…

Read More

Rais Samia aionya Simba fainali Muungano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan ameionya klabu ya Simba wakati ikijiandaa kukutana na Azam kwenye fainali ya Kombe la Muungano. Akizungumza leo kwenye kilele cha Miaka 60 ya Muungano, Rais Samia amesema Simba haitakiwi kuidharau Azam kwenye mechi hiyo ya fainali itakayochezwa kesho kuanzia saa 2:15 usiku kwenye Uwanja…

Read More

TAKUKURU wakamata watumishi wa serikali kwa tuhuma za kuomba rushwa ‘tutaendelea kukamata”

Wakurugenzi wa halmashauri wametakiwa kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wanaohusika kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Njombe. Kauli hiyo imetolewa April 25,2024 na kamanda wa Takukuru mkoa wa Njombe Kassim Ephrem wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo. Amesema mkurugenzi anapelekewa ripoti ya mradi uliotembelewa na Takukuru na kubaini mapungufu wanategemea…

Read More

Kauli ya RC Dendego yaibua mjadala

Dar es Salaam. Kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego kuwa wasichana watakaopata mimba katika umri mdogo, watakuwa washitakiwa wa kwanza katika mashauri yatakayofunguliwa, baadhi ya wanaharakati wamemkosoa wakisema kauli hiyo haileti suluhisho la tatizo hilo. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi Halmashauri ya Wilaya ya Itigi mkoani humo na wanafunzi wa…

Read More

Siku 125 Baleke alipotupia kitu cha nane

LEO Aprili 26, 2024 ni siku 125 tangu aliyekuwa straika wa Simba, Jean Baleke alipofunga bao lake la nane, Desemba 23, 2023 dhidi ya KMC na hakuna mshambuliaji wa timu hiyo aliyefikia mabao hayo. Baleke ambaye kwa sasa anaichezea Al-Ittihad ya Saudi Arabia alijiunga na Simba msimu wa 2022/23 kupitia usajili wa dirisha dogo na…

Read More

Marufuku kutumia baiskeli ya mwanafunzi kwenda kunywea pombe

Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amepiga Marufuku Baadhi ya wazazi na walezi wa wanafunzi wa kike waliokabidhiwa Baiskeli na Shirika la Plan International zitakazo kwenda kusaidia kupunguza Changamoto ya Umbali mrefu kuacha tabia ya kuzichua Baiskeli hizo na kwenda kuzitumia kwa Matumizi mengine ikiwemo kunywea Pombe Marufuku hiyo imepigwa wakati alipokuwa akikabidhi Baiskeli…

Read More