Mashambulizi ya Israel yaua watu 5 Rafah – DW – 26.04.2024
Zaidi ya nusu ya wakaazi wapatao milioni 2.3 wa Gaza wametafuta hifadhi huko Rafah, ambapo Israel imekuwa ikifanya mashambulizi ya anga karibu kila siku, huku ikionekana kujiandaa kwa operesheni kamili ya ardhini katika eneo hilo. Israel imeegesha magari ya kivita na zana mbalimbali za kijeshi karibu na mji huo wa Rafah , hali inayozusha hofu miongoni mwa…