Mbadala wa Aucho huyu hapa
YANGA wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma kama mbadala mpya wa staa wao, Khalid Aucho. Kagoma ni kati ya viungo wakabaji wazawa wanaofanya vizuri katika Ligi Kuu Bara ambapo msimu huu amekuwa akiitumikia Singida Fountain Gate aliyojiunga nayo kipindi cha usajili…