Takukuru yazuia utekelezwaji adhabu ya faini ya Sh20,000 kwa kila mwanafunzi
Musoma. Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Nchini (Takukuru) mkoani Mara, imezuia utekelezaji wa adhabu ya faini ya Sh200,000 kwa kila mwanafunzi anayabainika kuwa na simu shuleni katika shule ya Sekondari Nyamunga wilayani Rorya, Mkoa wa Mara. Uamuzi huo umefanyika baada ya kubainika kuwepo kwa adhabu hiyo ambayo Takukuru inadai haitekelezeki na ni kandamizi. Akitoa…