MWENGE WA UHURU KUINGIA MKOA WA PWANI APRILI 29
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake leo Aprili 25, 2024 hawapo pichani. Na Khadija Kalili, Michuzi Tv MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge ametoa ratiba ya kuukimbiza Mwenye wa Uhuru ambao utaingia Mkoa wa Pwani Aprili 29 ukitokea Mkoa wa Morogoro. Akizungumza katika mkutano…