Exim Bank yatoa vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi-Moshi
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu (wa tatu kutoka kushoto),akikabidhi seti ya vitanda kwa Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi, SACP Ramadhani Mungi (wa tatu kutoka kulia), kama sehemu ya mchango wa Exim Bank katika jamii ikiwemo ulinzi na usalama wa Watanzania na mali zao ambapo makabidhiano hayo yamefanyika…