Bashe azindua Bodi ya Mkonge, yaahidi kufanya kazi kwa weledi

Na Ramadhan Hassan,Dodoma WAZIRI wa Kilimo,Hussein Bashe amezindua Bodi ya Mkonge Tanzania huku akiitaka kufanya kazi kwa bidii na kuwasaidia wakulima wa zao hilo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Jumatatu Aprili 29,2024 jijini hapa,Waziri Bashe ameipongeza bodi mpya kwa kuaminiwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku akiitaka kufanya kazi kwa ushirikiano kwani atawapima kwa malipo…

Read More

Netanyahu aapa kuushambulia mji wa Rafah – DW – 30.04.2024

Netanyahu ametoa kauli hiyo licha ya mshirika wake mkuu Marekani kudhihirisha wasiwasi mkubwa kuhusu uwezekano wa kutekelezwa hatua hiyo. Waziri huyo Mkuu wa Israel ambaye ameapa kulitokomeza kabisa kundi la Hamas baada ya shambulio lao la Oktoba 7, amewaambia familia za baadhi ya mateka ambao bado wanashikiliwa huko Gaza kwamba kamwe hawatositisha vita kabla ya…

Read More

Majaliwa ataka uwazi utekelezaji miradi ya umwagiliaji

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametaka uwazi na usimamizi madhubuti wa fedha katika utekelezwaji wa miradi ya umwagiliaji nchini. Majaliwa ametoa maelekezo hayo kwa watendaji watakaohusika na usimamizi wa miradi hiyo, akisisitiza kufanya hivyo kutachagiza kukamilika haraka kwa kazi hizo. Kauli ya mtendaji mkuu huyo wa Serikali inakuja katika kipindi ambacho, Serikali imeweka…

Read More

Bashungwa amsweka ndani mkandarasi daraja Mpijichini

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Inocent Bashungwa ameagiza kukamatwa kwa mkandarasi anayejenga Daraja la Mpijichini lililopo Wilaya ya Kinondoni kutokana na kuchelewesha kazi. Mkandarasi huyo Panjianguang wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anadaiwa kuchelewesha ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa mita 140 na barabara unganishi kilomita 2.3. Akizungumza leo…

Read More

Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi

Unguja. Wakati masomo ya sayansi yakitajwa kuwa magumu hususani kwa wanafunzi wa kike, imeelezwa ni rahisi zaidi kwa sababu yanahitaji kujua tu kanuni na si kukariri. Kutokana na hilo, wasichana wametiwa moyo kupenda masomo ya sayansi. Hayo yamebainika wakati wa kufunga mafunzo na mashindano ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kwa wasichana yaliyoandaliwa na…

Read More

Gamondi: Pacome atacheza | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameibuka na kusema kiungo wake, Pacome Zouzoua yupo tayari kuanza kucheza na kesho Jumatano kuna uwezekano akampa nafasi, lakini itategemea na mazoezi ya mwisho leo jioni. Kauli ya Gamondi imekuja wakati kesho Yanga ikiwa na mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Tabora United utakaochezwa…

Read More