Wabunge wataka hatua zaidi athari za mafuriko

Dodoma. Wabunge wameitaka Serikali kuchukua hatua zaidi kutatua athari zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Wamesema hayo bungeni Dodoma leo Alhamisi Aprili 25, 2024 katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu baada ya kuwasilishwa taarifa ya Serikali kuhusu athari za mafuriko. Mbunge wa Viti Maalumu, Tunza Malapo katika swali…

Read More

AIRTEL TANZANIA YAINGIA UBIA NA TADB KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO

Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Dinesh Balsingh wakibadilishana mkataba wa kuendeleza sekta ya kilimo na kuwa ya Kidijitali. Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Dinesh Balsingh wakisaini Mkataba wa kuendeleza sekta ya kilimo na kuwa ya Kidijitali. AIRTEL TANZANIA imeingia makubalino na Benki ya Maendeleo…

Read More

Nyota JKT afichua balaa la Aucho Yanga

Nyota wa JKT Tanzania, Hassan Kapalata amesema haikuwa rahisi kupambana na kiungo wa Yanga, Khalid Aucho katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya timu hizo uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na kumalizika kwa suluhu. Akizungumza na Mwanaspoti, Kapalata alisema ubora mkubwa kwa Yanga uko kwenye eneo la kiungo na Aucho ndiye…

Read More

Undani wa ugomvi wa Morocco, Algeria ni huu

NAKUMBUKA ilikuwa Januari 2022, wakati mashindano ya AFCON 2021, yanaendelea kule Cameroon. Baada ya mchezo wa hatua ya makundi kati ya Algeria na Ivory Coast kumalizika na kupoteza kwa mabao 3-0 niliona kundi kubwa la rafiki zangu wa Morocco kwenye status za mtandao wa WhatsApp wakifurahia kipigo hicho ambacho kilisababisha Algeria iishie hatua ya makundi….

Read More

Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha vifo vya watu 155 na wengine 236 kujeruhiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Pia amesema kulingana na utabiri wa hali ya hewa unaonesha kuwa mvua za masika zitaendelea kunyesha hadi…

Read More