TBL, IFC na COPRA wahimiza mfumo wa kilimo cha mkataba
*Lengo ni kuwezesha ufadhili kwa wakulima na ugavi na kusaidia kuiweka Tanzania kama kapu endelevu la chakula kwa ukanda huu *Soko linalofanya kazi vizuri linaweza kuchochea uzalishaji wa kilimo, ukuaji wa uchumi na kutengeneza nafasi za kazi Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) na Mamlaka…