Tanapa yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato
Chato. Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya nyota tatu katika Kijiji cha Rubambagwe, Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita uliokuwa umesimama kutokana na ukosefu wa fedha, unatarajia kuendelea baada ya Serikali kutoa Sh480 milioni. Hoteli hiyo inajengwa na Suma JKT ikiwa na lengo la kuchochea utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo na…