Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinatekeleza miradi ya kimaendeleo kwa kufuata sheria na kuzingatia mfumo wa kidigitali wa manunuzi ya UMMA unaosimamiwa na PPRA unaolenga kudhibiti rushwa na kuongeza ushindani kwa kuwapata wazabuni wenye sifa katika utekelezaji wa miradi ya Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro ……