Benki ya Absa yaendeleza udhamini wake Absa Dar City Marathon
BENKI ya Absa Tanzania imeendeleza udhamini wake kwa mwaka wa nne mfululizo katika mbio za Absa Dar City Marathon , ikilenga kuifanya Tanzania kuwa Taifa lenye watu wenye afya njema. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio za Absa Dar City Marathon 2024, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Bwana Aron Luhanga alisema afya…