RIDHIWANI -WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII, ELIMU NDIO NGUO YA MAISHA
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amewataka wanafunzi na vijana kuacha matumizi mabaya ya mitandao, mambo yaliyo nje ya tamaduni za kitanzania na badala Yake watumie mitandao hiyo kujifunza na kujipa uelewa zaidi katika masuala ya masomo na elimu. Aidha amewaasa kusoma kwa bidii…