BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti ya Ofisiya Makamu wa Rais kiasi cha shilingi bilioni 62.7 kwa mwaka wa fedha2024/2025 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 23, 2024. Hotuba ya bajeti hiyo iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamuwa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ilichangiwana wabunge mbalimbali ambao baadhi…