SIMANJIRO WASHIRIKI KULIOMBEA TAIFA – MICHUZI BLOG

Na Mwandishi wetu, Mirerani Viongozi wa dini, wa Serikali, wanachama na wakereketwa wa CCM wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, wamefanya maombi ya kuliombea Taifa kwa kutimiza miaka 60 ya muungano wa Tanzania. Maombi hayo yamefanyika mji mdogo wa Mirerani yakiongozwa na viongozi wa madhehebu mbalimbali huku mgeni maalum akiwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa…

Read More

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKA LA ‘CHRISTIAN BLIND MISSION’ (CBM).

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Leo Aprili 23, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Shirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali, linalojihusisha na Afya ya Macho Jumuishi na Watu Wenye Ulemavu, ‘ Christian Blind Mission’ (CBM). CBM lenye Makao yake Makuu Nchini Ujeruman, ambalo limejikita zaidi katika Mpango…

Read More

Kombe la Muungano lilifia hapa

KLABU ya Yanga ya Dar Es Salaam imegoma kushiriki mashindano mapya ya Kombe la Muungano, yatakayofanyika Aprili 23 hadi 27 mjini Zanzibar. Rais wa Shirikisho la soka Zanzibar (ZFF), Suleiman Mahmoud amesema kwamba timu za Simba na Azam FC ndizo pekee kati ya zilizopewa mwaliko kutoka Bara zilizothibitisha kushiriki. Mahmoud ameeleza kuwa walipokea barua ya…

Read More

Aliyefariki ajali ya Kalaba azikwa, familia yamkana mume

WANAFAMILIA na marafiki wa Charlene Mumba Kabaso, aliyefariki katika ajali iliyotokea Aprili 13, 2024 eneo la Kafue nchini Zambia wamejumuika kutoa heshima za mwisho na kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele, huku ikibainishwa kwamba hakuwa mke wa Boyd Mkandawire kama ilivyoelezwa awali. Charlene alifariki dunia Aprili 13, mwaka huu katika ajali ya gari aina ya…

Read More

WAZIRI JAFO AWASILISHA BAJETI YA MWAKA 2024/25

Ofisi ya Makamu wa Rais inaandaa Mfumo wa Kieletroniki wa Uratibu wa Taarifa za Masuala ya Muungano na yasiyo ya Muungano. Pia, inaanzisha Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (MAKAVAZI) ili kuwa na mfumo endelevu wa kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka za mambo ya Muungano ili kuongeza uelewa wa masuala ya…

Read More