Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi akutana na mkuu wa idara ya operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa Bw. Jean Pierre Lacroix ofisini kwa Mkuu wa Majeshi, Upanga, Jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo yao, Bw. Jean Pierre Lacroix amelipongeza JWTZ na kusema Umoja wa Mataifa…