Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: April 2024

  • Home
  • 2024
  • April
  • Page 71
Habari

TANZANIA YAISHAURI BENKI YA DUNIA KUWEKA VIPAUMBELE KATIKA MIRADI YA MAENDELEO AFRIKA

April 22, 2024 Admin

TANZANIA imeishauri Benki ya Dunia kutilia maanani vipaumbele vya maendeleo vya nchi za Afrika ikiwemo kuzipatia fedha na ujuzi ili ziweze kutekeleza miradi mbalimbali ya

Read More
Habari

DK NCHIMBI: TUTAWAENZI WAASISI KWA KUENDELEZA UTUMISHI KWA WATU

April 22, 2024 Admin

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la Hayati Mzee Constantine Osward Millinga, aliyekuwa mmoja wa waasisi na

Read More
Habari

SERIKALI YABORESHA VIWANGO VYA POSHO WASIMAMIZI WA UCHAGUZI

April 22, 2024 Admin

Na; Mwandishi Wetu – Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali imefanya maboresho

Read More
Habari

Benki ya NBC Yazindua Kampeni ya “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” Kuchochea Ukuaji wa Biashara

April 22, 2024 Admin

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni mpya ya akiba inayofahamika kama “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” mahususi kwa wateja wake wa aina mbalimbali

Read More
Habari

Toshiba yapata kibali cha kuzalisha vifaa umeme kukarabati kiwanda cha nishati ya jotoardhi Kenya.

April 22, 2024 Admin

· Mitambo na jenereta zenye ufanisi wa hali ya juu za Toshiba imeboresha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 40 ikilinganishwa na miundo ya kawaida. NAIROBI.

Read More
Michezo

Simba ilirahisisha ushindi wa Yanga Dabi

April 22, 2024 Admin

Ushindi wa mabao 2-1 ambao Yanga iliupata dhidi ya Simba katika dabi ya Kariakoo, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yanaweza kuwa matokeo yaliyorahisishwa

Read More
Habari

Wizi wa misalaba makaburini wawashitua Shinyanga

April 22, 2024 Admin

Shinyanga. Usemi wa “Kufa Kufaana” unakamilisha dhana ya kinachoendelea mjini Shinyanga kutokana na kukithiri kwa wizi wa misalaba kwenye makaburi. Wakati wananchi wakiomboleza kuwapoteza wapendwa

Read More
Michezo

Aucho ashindwa kujizuia kwa Kazi

April 22, 2024 Admin

KIPIGO cha pili mfululizo kwa Simba kutoka kwa watani wao wa Yanga, kunawapa wakati mgumu mabosi wa Msimbazi kwani kwa sasa wana kazi ngumu ya

Read More
Habari

Agizo la Rais Samia latekelezwa, treni mwendokasi yaanza majaribio Dar – Dodoma

April 21, 2024 Admin

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya treni ya mwendokasi inayotumia

Read More
Habari

CAG atilia shaka uadilifu wa Viongozi wa Manispaa ya Temeke ,Njombe.

April 21, 2024 Admin

*Ni utoaji wa mikopo wa fedha zaidi ya kilichoombwa Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Njombe zilitoa mikopo zaidi ya

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 70 71 72 … 96 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.