Viongozi wa dini wahamasisha wananchi chanjo saratani ya kizazi
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wakati kampeni ya kitaifa dhidi ya chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi ikitarajiwa kuanza, viongozi wa dini wamewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao wenye umri kati ya miaka 9 hadi 14 waweze kukingwa na ugonjwa huo. Tafiti zinaonyesha saratani ya mlango wa kizazi inaweza kudhibitiwa kwa wasichana kabla…