
NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika jijini Arusha – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Happiness Laizer pembezoni mwa Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Katikati ni Meneja Mahusiano Huduma za Serikali wa…