
BETIKA haipoi Kariakoo Derby, Washindi 56 kuishuhudia kesho kwa Mkapa
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital WASHINDI 56 Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba itakayofanyika kesho kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Wanahabari mapema leo Aprili 19, 2024 Afisa Habari wa Kampuni ya Betika Tanzania, Juvenalius Rugambwa wakati akiwapokea Washindi Promosheni…