
Wasomi wa vyuo wapewa mbinu kujipima
Iringa. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu, Profesa Joseph Ndunguru, amesema eneo la kwanza la muhitimu wa chuo kikuu analopaswa kujipima ni kutengeneza kitu kitakachokuwa suluhisho la changamoto kwenye jamii yake. Amesema swali hilo litawafanya wang’amue kama elimu waliyohitimu ina manufaa kwa jamii inayohitaji majibu ya maswali yao kutoka kwa wasomi….